USHAURI MUHIMU UKIWA UKO PEKE YAKO NJIANI NA UMEPATWA NA SHAMBULIA LA MOYO (HEART ATTACK) CHUKUWA TAHADHARI. 

Chukulia ni muda wa saa 1:25 usiku unarudi nyumbani peke yako, baada ya kazi ngumu zusizo za kawaida ofisini.Umechoka sana, una hasira na umechanganikiwa.Ghafla unajisikia maumivu makali kifuani yanaelekea mkononi na hata kwenye Taya. Upo umbali wa kama km5 tu kufika Hospitali iliyo karibu na kwako.Bahati mbaya hujui kama utaweza kufika kwa vunavyojisikia.Ulishafundishwa kumfanyia mtu CPR, lkn aliyekufundisha hakuwaambia unaweza kujifanyia mwenyewe. JINSI YA KIJUSAIDIA UNAPOPATWA NA SHAMBULIO LA MOYO UKIWA PEKE YAKO. Kwa kuwa watu wengi hupatwa na Shambulio la Moyo wakiwa peke yao bila msaada wowote, mtu ambaye mapigo yake ya Moyo hayako sawa na anaanza kuhisi kuzimia, au zimebaki sekunde 10 tu kabla hajapoteza fahamu.Hata hivyo, waathirika hawa wanaweza kujisaidia kwa kujikoholesha mfululizo. Avute pumzi ndefu kila unapo jikoholesha, na kikohozi lazima kiwe cha ndani mfululizo mpaka makohozi yatoke ndani ya kifua.Kikohozi hicho kiendelee mpaka utakapopata msaada au mpaka mapigo ya Moyo yarudi kawaida tena.Pumzi ndefu hupeleka Oksijeni mapafuni na kikohozi kuubana Moyo na kufanya mzunguko wa Damu uendelee. Nguvu ya kikohozi ya kuubana Moyo pia inasaidia kurudisha ktk mapigo ya kawaida. Kwa njia hii, waathirika wa shambulio la Moyo wanaweza kufika Hospitali.Sambaza ujumbe huu kwa watu wengi uwezavyo, utakuwa umewasaidia kuokoa maisha yao!! kila anayepata ujumbe huu na akautuma kwa walau watu 10, tunaweza kuwa walau tumeokoa maisha ya mtu mmoja.Badala ya kutuma vibonzo, sambaza ujumbe huu ambao unaweza kuokoa maisha ya mtu...Kama ujumbe huu utarudi kwako zaidi ya mara moja, usikasirike! Furahi kwa kutambua kumbe watu wengi wanaokujali.Bofya hapa kwa habari nyinginezo
http://dlvr.it/STBGLJ

Maoni

Jifunze zaidi

Maradhi Yanayotibiwa na Habbat Soda (BLACK SEEDS)

Dalili Ya Kuzidi Asidi Mwilini na tiba yake!

Dawa ya jino ya asili

MAUMIVU YA TUMBO

Elimu juu ya Tetenasi (Tetanus)

Ugonjwa Wa Kukojoa Damu (Haematuria)

Vyakula Hatari kwa Kupunguza Nguvu za Kiume

MBOGA MAJANI NA FAIDA ZAKE

KAMA UNASUMBULIWA NA MAUMIVU YA KICHWA SOMA HAPA

BIZARI: KIUNGO CHA MBOGA CHENYE FAIDA NYINGI