MBOGA MAJANI NA FAIDA ZAKE

MBOGA ZA MAJANI
Watu wana mtazamo tofauti kwamba vyakula vyenye virutubisho kwa kawaida hutumia bei ghali kati ya aina ya vyakula.Wanasahau kwamba mazoea pia hutuwekea uwazi na aina za vyakula ambavyo vina virutubisho na vinaweza kununuliwa kwa kiasi cha
chini.Wapo wenye vikwazo vya kutumia mboga za majani,Mara nyingi watu wana athiriwa na desturi ya vyakula kama mwiko kwao kuvila na kuweka imani kuwa hakuna ujuzui wa kisayansi
uliohusika.Hii ipo mbali zaidi utatanishi wa watu ambao wameubeba nje na hadhi ya manufaa yanayohusika kwenye chakula na kutokumbukwa thamani ya virutubisho
vyake.Kwa mfano,ni kawaida kuwa na imani mboga za majani ya kijani ni chakula cha watu masikini na hazina hadhi ya kutumiwa.Ni kweli kwamba mboga za majani sio ghali sana, hii haiwafanyi kwa njia yoyote watu wa hali duni kukosa faida ya virutubisho.
Ngoja tuangalie hizi mboga za majani kwa mtazamo tofauti,mtazamo wa virutubisho,Baada ya yote,mboga za majani zinatoa nini?Mboga za majani zote zina kitu kimoja muhimu sana,zinatoa nguvu kidogo na vitamin nyingi na madini zaidi ya vyakula vingine.
Mboga za majani ya kijani kwa ujumla zina rutuba ya madini chuma,madini muhimu,vitamini A na C, madini ya chuma yanahitaji utengenezaji wa hemoglobin(kemikali katika seli nyekundu)yaani damu inayosafirisha okisijeni mwilini,na vitamin C zinasaidia upokeaji wa chuma kwa mfumo wa miili yetu.Pia ni vizuri kwa mtazamo kwa sababu ya uzuri wa vitamin A.Mboga za majani zote za njano na nyekundu kama nyanya na maboga vimerutubishwa katika kundi A.Mboga za majani nyingine kama biringanya, bitter gourd
vimurutubushwa katika kundi B vitamin,Ni zaidi ya vitamin,mboga za majani pia zina kiwango kizuri cha madini kama chuma,potasiamu na madini mengi muhimu pia nyuzi nyuzi(fiber) zinazosadia chakula tumboni kuyeyuka na kutumika kisha upate choo kwa wepesi.
Mboga za majani zinatumika katika kupunguza uzito wa chakula,kama kuondoa wingi na kukupa hamu , lakini inaondoa kalori chache.Wingi na maji yaliyomo kwenye mboga za majani pia husaidia kutibu ukosefu wa choo.
Mboga za majani,hususani zenye majani mengi zina kiwango kikubwa cha uchafu na vijidudu,kama azitosafishwa vizuri,pia zitasababisha kuhara kwa tumbo,Kwa hiyo zinabidi zisafishwe kwa umakini kabla ya kutumiwa.
Ili kupata ubora wa mboga za majani,zinabidi zitumike vizuri katika ubora wake na zioshwe kabla ya kukatwa.Chombo kinachotumika kupikia kinabidi kiwe kimefunikwa na kifuniko ili isipoteze vitamin C.
Mboga za majani zinabidi zitumike kila siku kwa kupunguza uzito kwa njia yoyote ile na magonjwa mengi yanazuiliwa kwa kula mboga zilizosafishwa na kupikwa zikiwa fresh .
BIRINGANYA
Biringanya zinapatikana kwa wingi ambapo mboga za majani nyingine ni adimu.Biringanya zina kiwamgo kikubwa cha vitamini B kuliko mboga za majai nyingine.Rangi zake ambazo ni nyeusi na zambarau zina vitamini C yenye radha nzuri zaid ya rangi yake.Biringanya zote zimegawanyika ndani ya madini tofauti,hususan magnesiam na potasiamu,ni nzuri kwa misuli na nguvu.
Kama dawa:
Mizizi ya mmea huu inajulikana kama anti-asthmatic. Chemsha mtu na kunywa kiasi nusu kikombe 1
Majani yake yana narcotic
nguvu,rasmi ilio kwenye upande wa dawa nyingi.
Vyote majani na matunda ya biringanya yameripotiwa wazi kama mazao yanayoleta upungufu kwenye damu
cholesterol
Juisi ya biringanya imefahamika kama kufaa kwa maumivu ya meno.
KABEJI
Kabeji ni moja wapo ya mboga za majani inayoleta afya,pia ina alkali( yaani kinyume cha asidi) katika utendaji,seli kubwa au inayosaidia kujenga mwili,ni kalori ndogo
iliyomo.Ina imarisha utendaji kikemikali kwenye mwili,ni bora zaidi kutoa ushirikiano wakutoa nguvu,na kusafisha damu.Kabeji imegawanyika kwenye madini mengi:imejumuisha kalisiamu na potasiamu na ina fosforasi,sodiamu na salfa. Kwa ujumla ni muhimu kwenye mlo kwani kiafya inasaidia tumboni na mfumo wa chakula
inausaidia.Ni bora kwa chanzo cha kupata vitamin A,B na C.
Kama dawa:
Inashauriwa kwa jambo la kuumwa kichwa mchana,kutosikia,huzuni,mpapatiko wa moyo, neuralgia ,matatizo ya kifua na homa ya manjano.
Matumizi ya juisi ya kabeji kwa kutibu vidonda vya tumbo ni moja wapo ya kisasa na umuhimu sana kuendelea mbele ndani ya uwanja wa therapy
Pia inatumika kutibu saratani ya utumbo
mpana.Juisi ikikaa katika ukuaji wa uvimbe wowote unasababishwa na ukuaji wa tishu usio wa kawaida na uponyaji wa uambukizaji wa utumbo mpana na tumbo.
Kutumia unga wa kabeji inasaidia ukurutu na uambukizaji wa ngozi kuondolewa.
Kabeji ni therapeutically
kuleta hali ya kutibu ugonjwa wa ngozi,uvimbe wa shingo,ugonjwa wa macho, gout,rheumatism,pyorrhoea.
Kabeji inafaa sana kwa kusaidia kupata choo.
Kabeji inajulikana kama ni moja wapo ya chakula kizuri kinachotunzwa salama,kufahamika kwa usafi.
KAROTI
Karoti ni mboga ya majani na ambayo inatapatikana kila sehemu na hupendwa na watu wengi, unaweza ambazo zimepikwa na ambazo hazijapikwa.Kikubwa zaidi kinajumuisha madini,chuma na fosforasi,Karoti zinajumuisha kiasi cha jumla ya ladha ya karoti,ambazo huupelekea mwili kujengwa na vitamin A.Hizi karoti zimeunganishwa kuzuia aina mbalimbali za maradhi yanayosababishwa na kasoro ya ugawanyikaji wa seli mwilini kama vile uvimbe au vidonda hasahasa saratani ya mapafu.
Karoti ina rutuba ya nyuzinyuzi,Nyuzinyuzi kubwa azisaidii pekee kwenye upungufu wa kisukari na
cholesterol viwango lakini inasaidia pia kuzuia saratani ya matumbo hususani kwenye utumbo mpana.
Njia nzuri ni kupata virutubisho kwenye karoti kwa kula mbichi,ikipikwa virutubisho vinapotea.Ikitunzwa katika hali ya chini yakiwango cha joto,karoti inazuia thamani ya virutubisho hadi miezi 5 au 6.
Kama dawa:
Ukinywa kikombe cha juisi ya karoti kila siku itakusaidia kwa matatizo ya macho na kuzuia mtoto wa macho.
Watoto wengi wana udhaifu wa vinywa .Ni vizuri kwa watoto kuchukua karoti mbichi ambayo ni changa kwa kila mlo,meno ya watoto hunyooka sawasawa na udhaifu wa kinywa huwa katika hali ya maendeleo ndani ya mwaka,wakipewa karoti waitafune kabla ya kila mlo.
Karoti 2 hadi 3 mbichi inabidi zichukuliwe kila siku kwenye chakula na inasaidia kwa tatizo la ukosefu wa choo kiujumla,minyoo inazagaa na inapunguza
blood cholesterol .
Supu ya karoti na juisi ni bora kwa matibabu ya tumbo la kuhara kwa watoto wadogo,hata kwa watoto wachanga, mtoto mchanga ambae anakua kabla ya wakati wake,na kwa watoto wote waliougua maumivu ya tumbo la kuhara .Inamsaidia pia watu mzima wenye maumivu ya tumbo la kuhara,na kwa matumbo yote/mchafuko wa utumbo
mpana.Supu ya karoti pia inazuia upotevu wa maji mwilini.
Karoti ikiwa na majani yake,itafune kama desturi kila siku,inasaidia katika matibabu/au kuzuia gout na mifumo yote ya arthritis(kuumwa viungo), maradhi ya ngozi,upungufu wa nywele na saratani.
Juisi ya karoti iliyochanganywa na asali kidogo inafaa zaidi kwa ugonjwa wa homa,kiujumla ,machafuko ya neva,upungufu wa damu,ukosefu wa uchangamfu,na kujisikia vibaya kihali.
Juisi ya karoti inatumika kwenye sehemu iliyo ungua inasaidia kupona haraka.
TANGO.
Matango ni aina ya mboga za majani ambazo hupendwa sana na watu wengi hasa katika kipindi cha miezi ya kiangazi na pia kuusaidia mwili kukaa uko ni mtulivu.Zinazuia
sunstroke na/au mapigo ya moyo na kuzituliza au kuzima shauku.Matango yanasaidia pia katika mmengenyo,na huwa na nguvu kubwa katika kuyasafisha matumbo. Yana nguvu kubwa na ya maajabu katika kuilinda ngozi.
Kama Madawa:
Chembechembe za matango zinatumika katika kuondoa sumu nje kutoka katika sehemu ambapo mdudu ameuma.
Vipande vya matango husaidia katika kuyatibu macho kwa wale wanaosumbuliwa na tatizo hilo la ugonjwa wa macho. Kula kwa wingi.
Pia matango husaidia katika kuujenga mwili na kuusafisha mirija na kibofu cha mkojo,na ni mazuri kwa tumbo na utumbo mkubwa.
Pia hutumika katika kusafisha damu,vilevile ni mazuri kwa kuyatibu magonjwa yanayo wapata watoto wadogo na kuleta au kuijenga ngozi kwa afya nzuri.
Kwa siku inatakiwa kula tango kwa lengo kuisafisha na kuilinda figo.
BAMIA
Sodiamu inayoridhisha kwenye bamia ni kubwa sana,pia imejumuisha mucin ,ambayo inatunza ngozi na kuituliza pia ngozi inayo washa ya eneo la
matumbo.Bamia ina utendaji wa alkali.
Kama dawa :
Mgonjwa wa kisukari inabidi ale bamia kila siku itamsaidia kupunguza kisukari.
Bamia mbichi kama 3 kata vipande loweka kwenye maji usiku na asubuhi ukanywa zaidi kawaida kwa mwezi 1 inaonyesha maajabu ya kupungua kwa kisukari na kubaki katika hali ya kawaida.
Kutumia ganda la bamia mbichi kwa alieungua na kwa sehemu yoyote iliyochubuka.
KITUNGUU SWAUMU
Kitunguu swaum ina historia kubwa kama dawa ya kutumia kwa mda wa miaka mingi.Ina faa kwa kusafisha damu na limfu mwilini.Inatanua sehemu maalum ya mishipa ya damu ambamo damu upita.Inapozunguka katika kiwilikiwili,matokeo yake ni kupunguza presha.
Kitunguu swaumu kina aiodini kubwa na salfa,ambapo inakuwa nzuri kwa kutibu ugonjwa wa kuvimba miguu.Inasaidia ute, koo na upitaji wa hewa ya mapafu, husaidia kwa ugonjwa wa pumu na homa.
Ni moja wapo yenye nguvu zaidi ya asili ya kuua bacteria na fangasi aina fulani.Kitunguu swaumu inaponya matumbo na mapafu,minyoo,ugonjwa wa ngozi,jeraha na kupunguza kuchooka haraka kwa mzee.
Kama dawa:
Magonjwa ya presha na mishipa: vipande 3 vya vitunguu swaumu,kata na chemsha kwenye maziwa na tumia kila usiku.
Kisukari kilichopanda, high cholestorel :kwa kawaida chukua kipande cha kitunguu swaum kwa siku na tafuna asubuhi 1 na jioni 1. kwa siku tatu na cheki sukari iko vipi.
Maradhi ya umengenyaji yanaitaji uvumilivu, kuharisha damu, nk :chukua vipande 3 hadi 6 vilivyo pondwa pondwa na asali kunywa mara moja au mara mbili kwa siku.nusu glass
Vimelea vya matumbo:3-4 vipande vya kitunguu swaumu viroweke kwenye maji au maziwa usiku uliopitiliza.
Kuumwa sikio :Chemsha vizuri kijiko kimoja cha chai cha kitunguu swaum ndani ya vijiko vya mafuta viwili vya chai.Itulie na ichuje,Tumia kama unavyowekama tone sikioni(matone 2 hadi 3).
Baridi,kikohozi na joto
kali :vipande viwili vya kitunguu swaumu vilivyo menywa,vilivyo chemshwa kwenye maji kikombe kunywa na fukiza pia moshi kifuani na puani
Chunusi; :Ponda kipande cha kitunguu swaumu na paka nje.
Vidonda vya kuambukiza:Juisi ya kitunguu swaum iliyo na maji mvuke(1:3),tumia kama losheni.
MCHICHA
Mchicha kwa kawaida umekuwa ukijulikana kama majani ya mboga za majani yanayo ota wakati wa kiangazi.
Mchicha una virutubisho vingi muhimu na husaidia mwili kuwa imara na maradhi mengi hupungua kuushambulia mwili ukila mboga na mchicha pia.
Kama dawa:
Juisi ya majani yake yana faa kwa kutatua mtoto wa jicho.
Majani yake yaliyochemshwa yatumike kila siku yanasaidia macho kuona vizuri
TANGAWIZI
Tangawizi imejulikana na watu wengi kama dawa.Dawa nzuri kwa mfumo wa umengenyaji,inapunguza blood cholesterol ,inasafisha ulimi na inapunguza homa.Pia nzuri kama dawa ya kutia nguvu,kuondoa baridi,ugonjwa wa pumu,mafua, kikohozi na kutuliza kichefuchefu.Nzuri kwa mapafu,tumbo,bandama.Wakati wa kale,tangawizi mbichi ilitumika kama pumzi tamu,kwa matibabu ya mmengenyo,inaponya maumivi ya jino na fizi zinazovuja na kama kuimarisha meno na macho dhaifu.
Kama dawa:
Nishati na viungo kuumwa husaidia kwa kunywa kwenye maji moto na kujifukiza mvuke ikichemshwa.
kichefuchefu,kuvimbiwa,homa ya manjano, udhaifu asubuhi
, juisi ya tangawizi,juisi ya limao,na asali,vichkuliwe mara kwa mara.
Kusaidia Mmengenyo tumboni:kijiko 1 cha tangawizi iliyokauka na unga nzuri ya karafuu.Ongeza asali kutengeneza uzito na chukua kijiko kimoja cha chai baada kila mlo.
Upungufu wa hamu ya chakula,maumivu ya tumbo:inch 1 ya kipande cha tangawizi kichemshwe kwenye vikombe viwili vya
maji.Baada ya kuchanganya na maziwa na sukari,tumia mara kwa mara kama chai.
Maumivu ya masikio:Tone dogo linaweza kutumika kama dawa ya sikio.
Maumivu ya jino na fizi yenye uvimbe:Paka unga wa tangawizi na chumvi kwenye fizi.
Baridi na mafua:Andaa chai na weka nusu kijiko unga wa tangawizi,karafuu na mdalasini Ongeza asali na
kunywa.Juisi ya tangawizi inabidi ichukuliwe na asali mara 2-3 kila siku kwa mafua sugu.
Uso wenye mkunjo na kabla ya wakati wake mvi :loweka kipande cha tangawizi kwenye asali.Lamba kijiko kimoja kila asubuhi.
KITUNGUU
Vitunguu,vina umuhimu zaidi wa kuleta virutubisho katika vyakula na kuvifanya viwe na mvuto,ni moja wapo iliyojulikana zama za zamani kama dawa,na kilitumika kwa miaka mingi kwa kuponya baridi na maradhi
mengi. Kitunguu kina kiasi kikubwa cha salfa ambapo ni nzuri hasa kwa ini.Usaidia dalili za kansa kwenye utumbo na kinywa
Kama dawa :
Kitunguu kilichopondwapondwa au juisi yake ina pakwa juu ya ngozi iliyo athiriwa na mdudu.
Kamua kwenye mwili uliochomwa na unapata unafuu
Kwa malaria ya homa ya manjano,vitunguu viliwe mara mbili kwa siku 2-3 na pilipili manga na maajabu halisi utayaona
Kinastaajabisha kwa kuondoa muwasho kwenye koo.
Vitunguu maji juisi yake hutumika kwa miaka katika ugonjwa wa kifua kinacho waka moto. Chua na kunywa kijiko 1 cha chakula x 2.
Ni sawa na kiasi cha mchanganyiko wa juisi na uvuguvugu wa mafuta ya hardali ni mazuri kama dawa ya mafuta ya kusugua na viungo vinavyouma.
Ni sawa na kiasi cha juisi ya kitunguu kibichi na asali,kutumika mara mbili kwa siku na kufaa kwa maumivu ya tumbo na uvimbe au kuvimbiwa.
Juisi ya kitunguu kibichi inatumika kama tone la kuweka sikioni ili kutuliza maumivu na uvimbe mchungu.
Kitunguu kilicho pondwa pondwa unga wake unasambazwa kwenye kichwa kutuliza maumivu ya kichwa.
Kitunguu pondwa kisha paka kwenye ngozi yenye ukurutu na kuchemsha inasaidia kuponya haraka.
Kwa mshutuko na kizunguzungu,vitunguu vilivyo chemshwa vizuri inabidi vivutwe harufu yake au vinuswe.
Kushusha sukari kula vipande 4 vya vitunguu kwa siku x 2 kwa siku 7 kisha pima sukari yako utakula imeshuka kama wewe unayo ya kupanda.
NJEGERE
Njegere zina kiwango kikubwa cha nyuzinyuzi,vitamin A,B, na C na hakuna mafuta, nzuri na inazifanya zipambane na
saratani.Pia inasaidia kudhibiti kiasi cha sukari kwenye damu na inapunguza presha.
Njegere za kijani zinatumika kuongeza damu ,na udhaifu wa kiafya,Ambapo inajulikana kama “ poor man’s eggs ”.Pia inatoa msaaada kwenye kidonda kinachouma kwa sababu inasaidia kuondoa asidi zilizoko tumboni.
Kama dawa:
Njegere zilizo chemshwa zinabidi zitumike kila siku kwa wagonjwa wa upungufu wa damu.Protini ya njegere inayeyusha damu iliyoganda vizuri.
Maji yaliyochemshwa na njegere inabidi yatumike kuosha uso kuondoa matete kuwanga.
Ganda la njegere imejuimuishwa kwenye vitamini na madini na inabidi ipikwe kama mboga ya majani kwa mgonjwa wa upungufu wa vitamini na udhaifu kiujumla.
KIAZI MVIRINGO
Viazi mviringo mara nyingi ni chakula sahihi,vinapunguza presha ya damu,inakimu uzito wa alkali na asidi kwenye mwili na inarutuba ya vitamin A,B,na C na potashiamu.(asilimia 60 ya potashiamu ipo kwenye viazi ambapo inafungika kwenye ngozi ambapo haiwezi kusaidia kwenye kiazi kilicho menywa.) Jitahidi umenye kiasi juu juu au chemsha na ngozi yake baada kuosha vizuri kuondoa kabisha mchanga.
Juisi ya kiazi iliyo mbichi ni bora kuupa uhai mwili na kupata wingi wa vitamin C ambayo ni kama vitamin na madini mengine.kiazi kinabidi kiepukwe kama we ni mgonjwa wa kuumwa viungo vya mwili, acha kabisa(athritis)
Supu ya viazi mviringo ni nzuri mgonjwa wa tatizo la mkojo,figo na maradhi ya tumbo,na kuyaweka madini pahali pake kwenye mfumo.Potasiamu kwenye viazi yana nguvu yenye alkali,ambayo inatengeneza ini vizuri na inazuia asidi.
Kama dawa:
Viazi mviringo vichache vinapikwa kwenye kifuniko kama mboga za majani kama vikiliwa kwa kawaida,itapunguza mawe yote kwenye figo.
Kiazi mviringo kilicho okwa kwenye ngozi yake na ikiliwa na chumvi,itazuia mafuta mwilini.
Kikombe cha juisi ya viazi mviringo vibichi kinywewe kila siku inaponya asidi.
Viazi mviringo vibichi vilivyo pondwa na kuwa laini vipakwe usoni,inaruhusiwa inasafisha ngozi na kuifanya iwe na mng’ao.
Kiazi kibichi(juisi au vipande)vinasaidia kuponya sehemu iliyoungua haraka.
Viazi mviringo iliyochemshwa inachanganywa kwenye maziwa ni dawa bora ya tumbo la kuhara.
Kama vikiliwa kila siku,viazi inabidi vipikwe kwa mchanganyikoa wa mboga za majani ,la sivyo itasababisha ukosefu wa choo.
NYANYA
Inaongeza alkali ya damu na kusaidia kuondoa sumu,hususani kwenye mkojo wenye asidi,kutokea kwenye mfumo mzima.Kama ini linasafishwa.nyanya ni za ajabu sana,hasa ukitumia na juisi ya mboga za majani za kijani.
Nyanya zimerutubishwa kwa vyakula vyote ndani ya
vitamin.Zina rutuba muhimu hasa kwa vitamin A,B na C.Nusu kipande cha nyanya mbivu pia kinafaa kwa machafuko ya tumbo.
Ni rahisi kusaga chakula na kukipendekeza kwa mgonjwa na hasa kwa homa,kisukari na baada ya muda mrefu wa kutokula.Imekuwa ikirutubishwa kwenye chimbuko la vitamin A,Ina tumainika kuzuia dhidi ya matatizo ya macho.Imejumuisha madini mengine kama chuma,kalisiamu,salfa na potasiamu pia.
Kama dawa:
Glasi ya juisi ya nyanya mbichi inywewe kila siku inasafisha mfumo mzima na kuzuia ugumu wa arteri.
Juisi ya nyanya inaiweka alkali ya mishipa ya damu na hivyo ina dumisha kinga
kwa ugonjwa.
Imekuwa chanzo cha vitamin A,imetumainika kuzuia matatizo ya macho.
Nusu ya nyanya mbivu zinatumika wakati wa miezi ya majira ya joto kama zinavyozuia sunstroke na mapigo ya moyo.
LIMAO
Limao nzuri zina ngozi yenye mafuta au laini,maumbile mazuri na kubwa kwa kiasi
chake.Juisi ya limao inatengenza nafasi nzuri ya
siki.Juisi ya limao mbichi imejipambanua kwenye chimbuko la vitamin C.Limao zipo katika kiwango kikubwa cha potasiamu na imerutubishwa kwenye vitamin B1.Ni bora kwa kusafisha au kuondoa nyenzo za sumu
mwilini.Kwa magonjwa mengi,itasaidia kumaliza nguvu sumu isiyoonekana iliyotulia mwilini ambayo haiwezi kuondoshwa kwa njia nyingne.Vinywaji vya limao vinasaidia vizuri mno tunapohitaji kuondoa uchafu na uchachu ulio athiri ini vibaya.
Limao zinastaajabisha kwa
homa.kwa sababu mwili wenye homa unakubali matunda, bora zaidi ya chakula kingine.Limao imeonekana kama kuwa nguvu ya kuongeza hamu ya kula na ambapo inasaidia kuondoa
homa.Limao inastaajabisha kama dawa ya kuulia vijidudu vya maradhi.Kuna orodha ya vijidudu ishirini tofauti ambavyo vinaweza kuondolewa na matumizi ya limao yenyewe.Limao inatumika kama dawa ya baridi, rheumatism, kuwashwa koo,homa ya tumbo na matatizo ya ini,kichwa,kiungulia,na mengineyo.Matumizi maalumu ya juisi ya limao inatumika
kuondoa muwasho unaosababishwa na mdudu.
Kama dawa:
Limao ndogo kwenye glasi ya juisi ya chungwa ni nzuri sana isiyo kali kama dawa ya kuharisha,kama vile kinywaji rutubisho.
Unywaji wa juisi ya limao kila siku inasaidia kuondoa
rheumatic homa,maumivu ya viuongo.
Juisi ya limao inywewe mara tatu au nne kila siku pamoja na kituunguu swaumu inaponya mafua na baridi.
Ugonjwa wa pumu unapunguzwa kwa kutumia nusu kijiko ya juisi ya limao kabla ya kila mlo na umakini zaidi unaongezeka kiakili.
Kuzuia ugonjwa wa kuabukiza kwa hewa,glasi ya juisi inabidi inywewe kabla ya kutoka nyumbani.
Juisi ya limao inang’arisha ngozi ya kichwa na nywele zake badalaa ya shampoo kwa kusafisha vizuri nywele.Inaondoa mapovu ya sabuni vizuri zaidi ya maji pekee.
Juisi ya limao ni bora kwa kusafisha damu chafu, asubuhi,kunywa juisi ya limao kikombe kimoja cha majii ya uvuguvugu.Pia ianasaidia kiafya.
Kama una kidonda,epukana na limao na matunda mengine yenye uchachu.
SPINACHI
Spinachi zina aina mbili ambazo ni sifa na ubaya.Zinasifika kwa faida ya afya na kwa ubaya wa harufu yake na radha(ambapo ujulikana baada ya kupikwa).Kurudisha ubora wake,spinachi inabidi itoe mvuke wake au ipikwe kwa kiasi kidogo cha maji.
Spinachi ina chimbuko bora la vitamin C na A,chuma na potasiamu.Spinachi ina athari kwa kuharisha na inastaajabisha kwa kupunguza uzito. Inaongeza damu kama unayo kidogo
Spinachi ni nzuri kwa wale wanaoitaji chuma,chukua juisi ya majani ya spinachi ama mabichi au kwa kupika kama kutokoswa au kuchemshwa au supu.
Juisi ina rutuba kwa madini yote na nguvu ya organi ni nzuri kwa kusafisha damu toniki,kuponya eneo la matumbo, haemorrhoids, ukosefu wa damu na upungufu wa vitamin.
Spinachi ina kalisiamu kubwa inayoridhisha,lakini pia imejumuisha oxalic asidi.wote wenye matatizo ya ini,figo au
arthritis inabidi kula spinachi kwa kiasi.
Kama dawa:
Pika mboga ya majani spinachi,kwa kawida kama desturi,inakinga dhidi ya saratani.
Juisi ya spinachi mbichi inywewe kila siku mara mbili kabla ya mlo inapunguza sukari kwa wenye sukari ya kupanda
Juisi ya majani ya spinachi ni nzuri kwa koo linalowasha.
BOGA
Maboga yana kiwango kikubwa kwenye potasiamu,yana alikaline kwenye utendaji na asili yake nzuri ni vitamin B na C.
Juisi ya boga inatumika kwa mgonjwa wa mshutuko wa moyo,asidi na matatizo ya ini.Inatunza mwili kwenye utulivu wakati wa miezi ya kiangazi.
Juisi ya boga pia inapakwa usoni kuondoa uchafu,makovu,na kuifanya ngozi nyororo na ya kupendeza.
Mbegu za boga zina rutuba ya zinki,kalisiamu na vitamin B.Mafuta na mbegu zinatumika kuponya tezi .Inatumika kuondoa vimelea(minyoo)kwenye matumbo yaliyo ugua.
Kama dawa:
Mbegu za boga na vitunguu vikichanganywa pamoja na soya kidogo yenye maziwa na asali,ichukuliwe kila siku kwa wiki,inatengeneza dawa nzuri kwa minyoo .
Juisi ya boga bichi pevu inywewe kila siku inasaidia kusafisha figo.
Boga lililopikwa liliwe kila siku kwa ulaji kamili,inazuia saratani.
boga laini ni zuri kusaidia kuponya kuumwa kichwa.
UYOGA
Uyoga ni aina ya ukungu.Uyoga umeumbwa aina kwa aina kama dawa yakuondoa hitilafu katika ngozi,kuponya wazimu au ujinga na sasahivi wanasayansi wanajaribu kufafanua anti-cancer nguvu zilizomo.
Kuna zaidi ya uyoga aina 13000 ya kulika na wanadamu,Uyoga una ladha ambayo ni nyepesi
kusikika.Aina nyingi ya uyoga unaolika na wanadamu una harufu maalumu na ladha yenye kupendeza zaidi.lakini wote sio safi kwa kuliwa.Baadhi yake kiukweli una sumu,kiujumla hakuna njia rahisi ya kutambua uyoga upi una sumu.Hivyo basi inashauriwa kula ulio otesha mwenyewe.
Thamani ya chakula cha uyoga ni sehemu katika mboga za majani na chakula cha wanyama pia.Zaidi ya uyoga mwingi ni mzuri kama chimbuko ya protein na ima kiasi kidogocha wanga.Baadhi yake imejumuisha katika kufahamika kama vitamin B na madini zaidi kama chuma na shaba nyekundu.Hakika aina ya upungufu wa damu umetaarifiwa kuponywa vizuri na uyoga .
MATUNDA.
Aina mbalimbali za matunda mara nyingi huwa muhimu sana.Virutubisho vya pekee vyenye umuhimu ambayo ndani yake kuna matunda yanaongeza vitamin c.Takribani matunda yote yanahusisha kwa kiwango kikubwa umuhimu wa vitamin na mengine kabisa huwa na thamani ndani yake.
Matunda kama mboga za majani, nayo pia hujumuisha nyuzi au uzi,ambao hutumika kutengenezea madawa ya asili.
Matunda mengi yanaliwa mabichi kwa hiyo osha kwa makini na watoto au watu wazembe wanaosha kwa maji ya bomba tu na kisha ukata na kula, hii si salama , osha kwenye maji yaliyochemshwa vizuri ili kuua wadudu na kutoongeza wadudu pia wa majini kwenye bomba la maji . Chemsha maji na osha matunda yako baada ya kutumbukizwa kwenye maji moto kiasi tu na kisha osha na ule, isipokuwa matunda yenye ganda gumu waweza kuosha kwa makini sana hata kwa maji yaliyochemshwa ya baridi tu kisha ukaondoa ganda na kula itakuwa salama.
TUFAHA-apple
Tufaha ina madini na vitamin ya kutosha Tufaha ina asilimia 50 zaidi vitamin A zaidi ya
machungwa.Hii vitamin inasaidia kwa ukuaji na ulinzi wa mwili kwa watoto na watu wazima.
Pia inatunza macho kwenye hali nzuri,na inazuia upofu,Tufaha yamejumuishwa kwenye vitamin C,ambapo mwili unakuwa kawaida na yana umuhimu katika utunzaji wa mifupa na meno.Vitamini ambayo ni muhimu kwenye kudumisha afya ya mshipa, fahamu,vitamin B pia inatafutwa kwenye tufaha.
Juisi ya tufaha ni nzuri kwa kibofu na nyongo na inajulikana kwa usafishaji wake na matatizo ya kusikia katika uvimbe wa ndani.Tufaha inaweza punguza damu
cholesterol ,tiba ya ini inayofaa,inasafisha mwili wenye toksini na inapunguza madhara ya x-ray
Kama dawa:
Tufaha yanasaidia na kuimarisha ngozi,mifupa na meno.
Mvuke wa tufaha uanatumika kuzuia kuharisha.
Tufaha uchangamsha moyo na pia imetaarifiwa kusaidia uchovu wa kichwa.
NDIZI MBIVU
Ndizi mbivu imejumuisha vitamin nyingi na madini,na utendaji mkubwa
wanyuzinyuzi.Tunda pevu sio kali kwa dawa ya
kuharisha.Tunda ambalo sio pevu ni zuri kwa magonjwa ya tumbo na matatizo ya ini,pamoja na kidonda cha homa ya tumbo.Ndizi mbivu ina malisho ya asili ,na potasiamu yake kubwa inaridhisha na inafaa kwenye mfumo mzima wa misuli.Nguvu inaridhisha kutengeneza ina faida kubwa na kujaza dhana kuu,ingawa ina upungufu katika protein kama inafananishwa kama
nafaka.Ndizi mbivu ni nzuri kwa chanzo cha vitamin B,kalisiamu na fosiforasi.
Ndizi pevu inaweza kuongeza lishe kamili kwa watoto wadogo na kwa wagonjwa, pia inasaidia kuongeza nishati mwilini. Inaliwa mbivu kwa kumenywa ganda kisha kuliwa na ina sukari ya asili.
Kama dawa:
Ukosefu wa choo,kwa ujumla udhaifu na vidonda vya
matumbo.Kwa kawaida chukua ndizi pevu kila siku.
Kuvimbiwa:chukua ndizi pevu pia na kikombe cha maziwa kwa mda wa kulala.
Uchachu:Chemsha ndizi pevu iliyopondwapondwa kwenye kikombe kimoja cha chai ya maziwa na kunywa mara mbili au mara tatu kwa siku.
Kikohozi:Changanya robo kijiko cha chai na unga wa pilipili manga pia na ndizi pevu iliyo pondwapondwa na kula mara mbili au mara tatu kwa siku.
Kifua kikuu:Ndizi pevu iliyo pondwapondwa pamoja na nusu kikombe cha maziwa yaliyoganda,kijiko cha chai kimoja cha asali na kikombe kimoja cha maji ya nazi na kunywa mara mbili kwa siku.
Homa ya manjano na homa ya matumbo.Ndizi pevu iliyo pondwa pia na kijiko kimoja cha asali na kula mara mbili kwa siku chache.
EMBE
Maembe yana athiri ya vitamin na alkali kwa wingi, pia majani yake yanatiba mbali mbali, Moshi wa majani yaliyochomwa yanapaswa kuponya kwikwi na baadhi ya matatizo ya koo na yanafaa kwenye kiini dhidi ya tumbo la kuhara na ugonjwa wa pumu.Kukausha na utamu wa nyama ya tunda bivu apewe mgonjwa wa kipindu pindu .Gome lake ni chanzo cha utomvu na gundi.Gundi na utomvu ni kiini na mwisho wa shina wa mazao ya matunda yachanganywe na juisi ya ndimu na inatumika kwa mgonjwa wa upele au ukurutu .
Matunda machache yamejumuisha vitamin A nyingi kama maembe,kwenye muongozeko wa kuwa na vitamin C yakuridhisha.
Kama dawa:
Ukuzaji wa bandama:Ongeza kijiko kimoja cha chai cha asali kkwenye kikombe cha chai ya nyama ya embe pevu.Kunywa mara tatu kwa siku.
Kuvimbiwa na matatizo ya ini:Fyonza embe pevu na unywe glasi ya maziwa fresh moto
kunywa juisi ya embe kuondoa uchovu.
Kula embe minofu yake kwa afya na kuupa mwili uwezo wa kupambana na maradhi mengi
PAPAI
Ni dawa kama tunda na pia mmea wake, mbegu na majani, Kusaidia utumbo na kurahishisha usagaji wa chakula kwa haraka katika mfumo wa chakula
Kama dawa:
Ngozi unawili kwa kutumia juisi mara kwa mara ya papai
Upungufu wa damu,ukosefu wa choo,magonjwa ya macho na minyoo:Kula mapapai mara kwa mara.
Ini na uvimbe mchungu wa bandama:Chukua papai kila siku na kijiko kimoja cha asali.
Tumia papai kutibu magonjwa ya ngozi kwa kusugua nyama yake na kuacha muda
NANASI
Tunda hili limejumuisha vitamin C, chuma na madini. matunda mazuri hasa kwa kuutibu ugonjwa wa kukosa choo na pia mmeng’enyo mbaya wa chakula. Nanasi husaidia katika kumenge’nya nyakula vyenye proteins.Ni dawa ya kutia nguvu. Tumia ikiwa bado haijaoza na kuiva sana.
Kama Dawa:
Juice nzuri ya matunda kama nanasi inahusisha vitu mbalimbali, ambavyo husaidia katika mmeng’enyo.
Matunda haya pia husaidia kama kawaida ya
antihelminthic ,ambayo ni,husaidia katika huondoa minyoo katika utumbo.
Pia juice ya matunda mabichi husaidia kwa kiwango kikubwa kwa kuutibu ungojwa wa kukosa choo.
Nanasi ambazo huliwa kwa vipande vipande na chumvi na kwa kutumia makaratusi husaidia kwa kupata na kuundoa uvimbe tumboni.
Kupata na kuondosha mawe katika figo,inatakiwa juice ya nanasi kuwa inachukuliwa kwa mda wa aasubuhi kwa mwezi mmoja.
KOMAMANGA
Komamanga( pomegranate)
imerutubishwa katika nguvu ya kipekee,ina kalori 90 kwa kila gramu 90.Juisi ni moja wapo ya dawa ya matatizo ya kibofu na matatizo ya kuharisha
kidogo.Kwa uzee wa watu inashangaza kwenye figo na kibofu, komamanga ni dawa ya kutia afya na nguvu.
Kama dawa:
Juisi ya matunda ambayo yamepevuka ni mazuri kwa homa ya matumbo,homa ya tumbo na homa ya pumu.
Juisi ina faa sana katika kupunguza kiwango cha shinikizo la damu.
Juisi ya tunda ikiwa na asali ni dawa watu wazima walioanza kupoteza kumbukumbu.
Upungufu wa damu:Yeyusha robo ya kijiko cha chai cha
mdalasini na vijiko viwili vya asali kwenye kikombe kimoja cha komamanga juisi na kunywa.
Ugonjwa wa pumu,kikohozi:Changanya juisi ya tangawizi, komamanga na asali kwa viwango sawa.Chukua kijiko cha mchanganyiko mara 1 au mara 2 kwa siku.
TIKITIKIMAJI
Tikitiki maji ni matunda mazuri zaidi ambayo husaidia kwa njia ya maji ya matunda,kama vile slices.Kusaidia kama chanzo cha sodium nayo pia potashium na pia husaidia kwa misuli ndani ya mwili.Upande wa ndani ya tunda na pia mbegu zake zinaweza kuliwa bila kumenywa au
kukatwa.Mbegu hizi zinahusisha 34 asilimia za proteins na 52 asiliimia ya
mafuta.Mbegu zako ukizitafuna vizuri na kufyonza maji yake ni tiba ya maradhi mengi.
Kama dawa:
Zina leta maajabu kiafya na kuchangamka kwa mwili na ubongo, Zina nguvu kubwa katika ugonjwa wa moyo,figo na kisukari.
Kwa sababu ya kiwango kikubwa cha maji kinachoridhisha yanatumika kwenye kupunguza uzito wa maji.
Uongeza uwezo wa tendo la ndo kwa mume pia mke , kula vipande vitatu nusu saa kabla ya kuingia kitandani
TENDE
Sukari halisi iliyojumuishwa kwenye tende ni bora zaidi kuliko sukari nyeupe iliyosafishwa sana.Ni tunda zuri sana kwa kikohozi na baridi,pumu,maumivu ya kifua,homa, kuharisha na matatizo ya ini.Chukua tende na maziwa asubuhi na mapema kipindi cha majira ya baridi imeonekana kama dawa ya kutia afya na nguvu.Tende zinaweza kuliwa na maziwa kwa matatizo ya vidonda vya
tumbo.Maji ya tende yanaweza kutumika na maziwa kwa watoto wenye tumbo jepesi,kama inavosaidia kusaga chakula kwa maziwa.
Kama dawa:
Tende zina zinasaidia na mchafuko katika mfumo wa umengenyaji chakula tumboni
Tende pia zimetaarifiwa kama kuondoa machafuko ya akili.
Tende kavu ziroweshwe kwenye maziwa ni lishe kubwa na inatoa nguvu na uchangamfu.
PERA
Pera bichi limerutubishwa kwenye vitamin A,B na C.Pera kingine zaidi ya kuwa na asili nzuri sana chanzo cha vitamin C , pia ni dawa nzuri ya
kuharisha.Uzi mkubwa ulio kwenye pera unasidia kurekebisha sukari mwilini na
cholesterol kwenye damu,mbali na kupunguza kikohozi na matatizo ya kifua.Kwa sababu ya kiwango chake kikubwa cha vitamin C kinacho husishwa hapa,tunda hili ni zuri hasa kwa kuzuia mmiminiko wa damu nyingi mwilini hasa ule ufizi wake unasaidia kuyatibu maumimivu ya viungo vya
mwili.Pia inasaidia kuipa ngozi afya nzuri na kuiwezesha kukua vizuri.Tunda hili pia linasaidia kuujenga mwili kukaa imara bila ya kupatwa na magonjwa.
Kama   dawa:
Pera inazuia kuhara na kuzuia kupoteza ile hali ya kuishiwa na damu mwilini.
Majani yake yakichemshwa hutibu malaria sugu.
Kwa kawaida kwa kulitumimia tunda hili yaani kulila mara kwa mara husaidia kuujenga mwili kuwa na nguvu wakati wa joto kali na baridi,na pia huifanya ngozi kukua haraka na kukomaa.
CHUNGWA.
Chungwa linahusisha kiwango kikubwa cha vitamin C na A.Juice nzuri na tamu ya chungwa kwa kawaida huwa kama ni laini husaidia kwa kuzuia kuharisha yaani kama dawa ya kuharisha na kwa kiwango kikubwa hutokea wakati wa joto kali na pia wakati wa baridi,homa za mara kwa mara,kwa kuichangamsha akili,kusaidia kuwa na uwezo wa kuona vizuri,pia kuwa na damu dhaifu,kuzuia kukosa choo na pia kusaidia kutokuwangwa na kichwa cha mara kwa mara.Pia hulinda kutapikatapika mara kwa mara
. Hutumika sana kwa kupunguza kushuka kwa pressure mwilini.
Ni chakula kizuri kwa watoto kama nyongeza ya wale ambao wanatakiwa kunywa maziwa kwasababu inaonekana kuwa ni sababu ya kuwasaidia kwenye retention ya calcium ndani ya mwili.Machungwa yaliyo iva yanahusisha sana kama kiasi cha pasenti kubwa cha sukari,ambayo inaweza kiukamilifu kufanana na cha mwili.
Kama dawa:
Homa: Chungwa ni tunda zuri ambacho huzuia na kuupunguza ugonjwa wa uvimbe tumboni kwa kiwango kiubwa na mwili kwa kawaida
unagawanyika.Juice ya machungwa inakuwa na kimiminika au ni chakula cha kumiminika kikubwa ambacho husaidia kutibu homa au magonjwa mbalimbali kama vile homa za matumbo, kifua kikuu, na
surua.Ina toa nguvu,kuongeza mkojo kwa kukojoa mara kwa mara na kupunguza nguvu kazi kutokana na kupugua kwa nguvu mwilini,hapo husaidia kupona haraka.
Inasaidia kwa kuisisimua mmiminiko wa uvimbe kwa kutumia juice yake yaani ya machungwa ambapo husaidia katika kuboresha na kuongeza hamu ya kula.Inasaidia pia kwa kujenga mabadiliko yanayokuwepo au kwa maendeleo ya kuwauwa bactria wanaokuwa tayari wametapakaa katika utumbo.
Mifupa na Meno: kama haya matunda yalivyo mazuri zaidi kwa kuongeza vitamin C,yanafanya kazi vizuri hasa kwa ugonjwa wa mifupa na
meno.Kwa kutoa kiwango kikubwa cha juice ya machungwa husaidia kuzuia kung’oka meno ovyo.Kwa kawaida kula matunda ya machunwa pia husaidia katika kutibu ugonjwa wa
arthritis.
Ugonjwa wa moyo: Juice ya machungwa huwa inakuwa tamu pale ambapo inachanganywa na asali,Huwa inatumika sana kwa kuutibu ugonjwa wa moyo kwa kiwango kikubwa zaidi.
Upele na chunusi: Ganda la chungwa au maganda ya machungwa huwa ni ya thamani sana kwa kutubu chunusi kwa kukamua mafuta na kupata penye chunusi na upele .
KARAFUU
Karafuu ambayo ni maua yaliyokauka,yana nguvu na
aroma, kiburudisho na uchangamsha. Mara nyingi karafuu hutumika kwenye kutafuna na pia mmengenyo na pia kuzuia kichefuchefu na kutapika.Karafuu huwa ni tamu, ambayo mara nyingi hutibu moyo,ini, tumbo na matumbo;ni dawa ya kichefuchefu,mauivu ya meno, na kuharisha;inazuia kiharusi cha ulimi;uvimbe mchungu wa fizi na meno kulegalega.Maji ya ua uwaridi na karafuu ni radha nzuri ya kusafisha macho.Ni nzuri kwa ganzi ,kama dawa ya kumengenya na kuua vimelea kwenye utumbo mwembamba.
Kama dawa:
Kiharusi cha misuli:Paka mafuta ya karafuu kwenye sehemu iliyo athirika.
Kipindupindu:tafuna maua na maji kwa wingi ya karafuu kila siku.
Kichefuchefu:tafuna
Magonjwa ya fizi,magonjwa ya meno:Unga wa kuokwa wa karafuu unachanganya na kijiko kimoja cha chai na
maji na yanatumika kwa mara kwa mara.
Kuumwa kichwa:Tengeneza unga laini wa karafuu,maji na chumvi.Paka kwenyesehemu za paji la uso.
Uzito wa kichwa wakati wa kikohozi:saga karafuu 2 au 3 kwa kupata unga safi pamoja na nusu kijiko cha chai chenye tangawizi iliyokauka napaka juu ya pua na paji la uso.
Maumivu ya meno:lowesha kipande cha sufi ya pamba kwenye matone machache ya mafuta ya pamba.Gandamiza kwenye jino lenye maumivu,ponda karafuu na iweke kwenye jino lenye maumivu.
Muwasho wa koo kupitia kikohozi:tafuna 1 au 2 karafuu.
Mapafu kuumiza:Chemsha 6 au8 karafuu kwenye kikombe kimoja cha maji.Kijiko cha chai kichukuliwe na asali mara kwa mara.
KUNGUMANGA.
Kungumanga inahusisha asilimia 7 mpaka asilimi 14 ya ladha ya mafuta kwenye chakula.Mafuta yake mara nyingi yanatumika kama kiungo au hutumika kama kirutubisho na kama manukato kwenye sabuni na ni manukato ya kawaida.Inasaidia kupunguza maumivu,kupunguza au kuutuliza uvimbe tumboni na kuharisha
Kama Dawa:
maumivu ya tumbo la kuhara:kiijiko kimoja cha unga wake kwenye lita ya maji na koroga kunywa.
Ukurutu,Mvi: Futa lile kungumanga wakati wa kulipondaponda kwa kutumia jiwe imara kisha lisuuze kwa kutumia maji kidogo na jitahidi kwa kuliponda na liwe tayari kwa kupondwa .Pangusia au pakaa kwenye seheu iliyokwisha tayarishwa.
Na zinasaidia kuongeza hali na ashiki ya mwili katika majukumu ya ndoa
UKWAJU
Ukwaju una vitamin C na unasaidia kuongeza uchangamfu wa mwili na kuleta hali ya mwili mpya na yenye nguvu.
Kama dawa:
Damu kuganda/uvimbe wa jeraha:Baada kuondoa mbegu na nyuzinyuzi,changanya na nyama ya tunda pevu vijiko viwili vya chai na kijiko kimoja cha chumvi na nusu kikombe cha maji.Changanya moja kwa moja kwenye sufuria na weka kwenye jiko. ikiwa na joto,paka kwenye sehemu iliyo umia.Osha na maji siku inayofuata na rudia siku 3.
Kuvimbiwa,kukosa hamu ya kula,kutohisi ladha ya chakula:Kunywa juisi ya ukwaju yenye mdalasini, pilipili manga na iriki
Homa ya manjano:Tengeza mchanganyiko wa kijiko kimoja cha nyama ya tunda pevu kwenye kikombe kimoja cha maji na kunywa.
Kuwashwa koo:Changanya tunda pevu na maji ya uvuguvugu na kunywa siku kama 3 au zaidi.
MDALASINI/MDARASINI
Mdalasini unatumika sana kama kiungo kikuu katika dawa.Magome ya shina na mafuta yaliyopo kwenye mdalasini/Mdarasini yanatumika kama aina ya kemikali inayozuia bacteria na vimelea vingine; mafuta yanayopatikana kwenye majani yanatumika kama kigezo cha radha na kwa sehemu ya matumizi halisi ya maumivu ya baridi.Unatumika zaidi kama ponyo la homa ya tumbo na pia una sifa ya kuondoa uhalisi wa kiini na ukungu.
Kama dawa:
Tumbo la kuhara:Unganisha kijiko kimoja kwa kila unga wa tangawizi, iriki na mdarasini wenye asali na tegeneza vilete uzito.Chukua kijiko kimoja mara tatu kwa siku.
Kupumua kwa shida:Chemsha kijiko kimoja cha mdarasini kwenye kikombe komoja cha maji
baridi.Tumia mara kwa mara kama maji ya kusafishia mdomo.
Ukosefu wa radha kutouhisi kwenye ulimi:Sugua kwenye ulimi mchanganyiko wa unga ya mdarasini , asali na ruhusu ubaki kwa mda.
Kuumwa kichwa,inasababishwa na uingiaji wa hewa ya baridi:Changanya kijiko kimoja cha mdarasini katika kijiko kimoja cha maji na paka sehemu zinazouma.
Kikohozi:Andaa chai yenye nusu kijiko cha tangawizi,robo kijiko cha mdarasini na karafuu moja kwa kila kikombe cha maji.Changanya na kijiko kimoja cha asali kisha kunywa kila siku mpaka upone
Acne,blackheads na
pimples: Changanya unga wa mdarasini kwenye kijiko kimoja cha juisi ya ndimu na paka kwenye sehemu iliyoumia moja kwa moja.
Kuongeza uwezo wa kukumbuka:Chukua mchanganyiko wa kijiko kimoja cha asali na kiasi kidogo cha unga wa mdarasini kwa kila usiku.
Kutopata usingizi:Chemsha nusu kijiko cha mdarasini kwenye kikombe kimoja cha chai chenye maji kwa dakika 5,ikiwemo na asali,tumia mda wa kulala.
Kushusha sukari-Tumia mdalasini kwenye maji moto kila siku
Kuongeza nishati ya mwili uzazi, Tumia mdalasini na tangawizi kila mara kwenye chai weka kijiko kimoja mchanganyiko wa mdalasini asilia na tangawizi mbichi ya kutwanga.
IRIKI
Iriki inatumika hasa kuimarisha umengenyaji, kuleta ladha nzuri.Mara nyingi huwa na viungo vizuri na kusaidia kuwa na ladha nzuri kwenye vyakula, na pia ni nzuri katika kupunguza uvimbe tumboni mwake.Kwa mda mwingine mbegu zilizo kaushwa zilikuwa zinatumika kwenye ugonjwa wa pumu,Ugonjwa wa kifua,Ugonwa wa kibofu cha mkojo,kuwangwa na kichwa na kuumwa ugonjwa wa kung’oka meno ovyo ovyo,kama vile kupumua kwa nguvu au kutoa pumzi na pia kukosa nguvu mara kwa mara.
Kama dawa:
Kuwa na kichefuchefu na kukosa hamu ya kula:Tafuna mbegu au chemsha na kunywa kikombe kama chai
Mmeng’enyo: Tengeneza unga mzuri kw kiasi cha kijiko 1 na weka kwenye glass moja ya maji kunywa kwa siku mara 2
Kupumua vibaya andaa maganda kwa kuyatwanga kijiko kwenye kikombe kimoja cha maji, kunywa hayo maji.
U safisha koo:Chemsha kwenye gilas ya maji.
Joto na Baridi: Chemsha kwenye maji kunywa
Hali ya kukosa nguvu na hamu pia udhaifu, tumia iriki na CGtangawizi pia mdalasini kwa pamoja kwenye maji moto kunywa kama kawaida unywavyo chai.

Maoni

Jifunze zaidi

Maradhi Yanayotibiwa na Habbat Soda (BLACK SEEDS)

Dalili Ya Kuzidi Asidi Mwilini na tiba yake!

Dawa ya jino ya asili

MAUMIVU YA TUMBO

Elimu juu ya Tetenasi (Tetanus)

Ugonjwa Wa Kukojoa Damu (Haematuria)

Vyakula Hatari kwa Kupunguza Nguvu za Kiume

KAMA UNASUMBULIWA NA MAUMIVU YA KICHWA SOMA HAPA

BIZARI: KIUNGO CHA MBOGA CHENYE FAIDA NYINGI