Afya zetu kwa parachichi
Tumezoea kupaka parachichi directly katika ngozi, lakini pia kula parachichi kuna faida nyingi katika ngozi na mwili wako, parachichi zina sifika kwa kuwa narich healthy fatty acids, vitamins na antioxidants ambazo zina weza ku improve ngozi yako kwa ndani. Hizi ndizo Faida 5 za parachichi Huipa ngozi unyevu –Ni nzuri sana kwa ajili ya kutibu ngozi kavu sana na ngozi iliyo zeeka. mafuta ya parachichi yana uwezo wa ajabu wa ku moisturize ngozi yako na kuipa muonekano mzuri unacho takiwa kufanya ni kabla ya kulala chukua matone ya mafuta ya parachichi paka katika ngozi fanya hivi kila siku na utaona matokeo ndani ya siku chache Husaidia Kupambana na uzee – Avocado ni tiba ya ajabu ambayo husaidia kupunguza mikunjo ya uzee. Si tu unaweza kupaka parachichi mwilini na katika ngozi yako kama mask, lakini pia kula avocado husaidia kupambana na kuzeeka kutoka ndani. Kila mwanamke anataka kuweka ngozi yake katika hali ya ujana na kuo...